″Zanzibar haihimili tena siasa za kibaguzi″ - Mansoor | Matukio ya Afrika | DW | 02.03.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

"Zanzibar haihimili tena siasa za kibaguzi" - Mansoor

Kama kuna jambo analolijutia waziri wa zamani katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansoor Yussuf Himidi, ni kutokukemea uovu wa ubaguzi wakati bado yumo kwenye nyadhifa serikalini.

Mansoor Yusuf Himidi, mshauri mkuu wa mikakati wa chama cha CUF, Tanzania.

Mansoor Yusuf Himidi, mshauri mkuu wa mikakati wa chama cha CUF, Tanzania.

Katika mahojiano haya na Mohamed Abdul-Rahman, Mansoor Himidi anaangalia nyuma kwenye siku zake akiwa kiongozi mkuu kwenye SMZ na Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar na kuzungumzia mustakbali wa kisiasa na kiuchumi wa visiwa hivyo huku chama chake kipya cha CUF kikiutangazia mwaka 2015 kuwa "mwaka wa maamuzi".

Kusikiliza mahojiano kamili, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mahojiano: Mohamed Abdul-Rahman/Mansoor Yusuf Himidi
Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com