Yericko Nyerere azungumzia orodha ya watu hatari | Matukio ya Afrika | DW | 27.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Yericko Nyerere azungumzia orodha ya watu hatari

Mkurugenzi wa Kampuni ya CZI, Cyprian Musiba, ametaja orodha ya watu hatari kumi katika usalama wa Tanzania. Katika orodha hiyo yumo Yericko Nyerere ambaye ni mwanaharakati na mwandishi wa vitabu. DW imezungumza naye kwenye Kinagaubaga.

Sikiliza sauti 09:42