Yemen yahitaji msaada wa haraka kuzuwia janga | Media Center | DW | 02.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Yemen yahitaji msaada wa haraka kuzuwia janga

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema wafanyakazi wa misaada wanakimbizana na muda kuzuwia janga nchini Yemen, iliyoharibiwa na vita na ambako virusi vya corona vinasambaa kwa kasi kubwa. Saudi Arabia na Umoja wa Mataifa wameitisha mkutano wa wafadhili kukusanya dola bilioni 2.4. Tumezungumza na mkaazi wa mjini Aden Hassan Awadh kutujuza hali ilivyo nchini humo kwa sasa.

Sikiliza sauti 02:51