1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yaliyojiri barani Afrika Wiki Hii

Sylvia Mwehozi21 Mei 2021

Ungana na Sylvia Mwehozi katika afrika wiki hii; #Kamati maalumu iliyoundwa kutathmini hali ya ugonjwa wa Covid-19 Tanzania yawasilisha ripoti yake####Tanzania na Uganda zatia saini mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta###Jaji Martha Koome aidhinishwa kuwa jaji mkuu wa kwanza mwanamke huko Kenya###hali mbaya ya ukame huenda ikasababisha mzozo wa kibinadamu katika kisiwa cha Madagascar.

https://p.dw.com/p/3tmdo