1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wengi wamtakia heri Kitojo

20 Oktoba 2020

Wapenzi wengi wa idhaa ya Kiswahili ya DW wameeleza kusikitishwa kwao na kustaafu kwa Sekione Kitojo anayestaafu kazi baada ya miaka 20 ya utumishi wake hapa. Wanasemaje, tizama video hii. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3kC3A