Waziri Kabudi kukiri kifo cha Gwanda kwazusha sintofahamu | Matukio ya Afrika | DW | 11.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Waziri Kabudi kukiri kifo cha Gwanda kwazusha sintofahamu

Kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Palamagamba Kabudi imezusha hali ya sintofahamu kuhusu hatma ya mwandishi habari Azory Gwanda aliekiri kuwa ametoweka na kufariki. DW imezungumza na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri la Tanzania Neville Meena kutaka kujua ameipokeaje kauli hiyo?

Sikiliza sauti 03:12