Waziri azungumzia uhuru wa habari Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 29.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Waziri azungumzia uhuru wa habari Tanzania

Baada ya vyama vya upinzani kulalamikia vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu kunakodaiwa kufanywa na vyombo vya usalama Pemba, DW imezungumza na naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania, Hamad Masauni.

Sikiliza sauti 03:13

Mahojiano na Hamad Masauni

Hii inakuja baada ya kisa cha kupokonywa kitambulisho cha uandishi wa habari kulichofanywa na Idara ya Habari, kwa mwandishi wa habari kisiwani Pemba, nchini Tanzania Ahmed Juma, ambae pia anairipotia DW kimeingia katika eneo la bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma. Wabunge wa upinzani wataja kuchukua hatua kadhaa kuhakikisha haki inatendeka.

19365517

Sauti na Vidio Kuhusu Mada