Wapinzani Uganda wapania kuandamana leo | Matukio ya Kisiasa | DW | 10.05.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Wapinzani Uganda wapania kuandamana leo

Nchini Uganda wanasiasa wa upinzani wanajiandaa kufanya mkutano wa hadhara katikati ya mji wa kampala baadaye alasiri.

default

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Dr. Kiiza Besigye

Ifahamike kuwa polisi wamewakataza wanasiasa hao kukusanyika kwenye uwanja wa Constitution ulio na umuhimu mkubwa kisiasa. Wapinzani hao wamekuwa wakihangaishwa na polisi kila wanapojaribu kuandamana kupinga ongezeko la bei za vyakula na mafuta pamoja na kudai demokrasia. Jee hali iko vipi mjini Kampala kabla ya mkutano huo wa hadhara kufanyika? Hilo ndilo suali Thelma Mwadzaya alilomuuliza Mwandishi wetu wa Kampala Leyla Ndinda aliyekuwa katikati ya mji muda mfupi uliopita

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com