Makala ya wanawake na maendeleo inaangalia namna wanawake mkoani Tabora wanavyotumia njia za uzazi wa mpango kwa usiri mkubwa. Uzazi wa mpango ni muhimu kwa mtu binafsi kwa sababu ni nyenzo za kufanya maamuzi kuhusu idadi ya watoto. Msimulizi ni Hawa Bihoga.