1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanaoongoza watalii Kilimanjaro

Veronica Natalis18 Julai 2018

Inakadiriwa kwamba kati ya waongoza watalii mlimani 2000 waliopo sasa mkoani Arusha, wanawake hawazidi 10. Ni kweli kwamba wanawake hawaimudu kazi hiyo? Katika Wanawake na Maendeleo Veronica Natalis anazungumza na wanawake ambao wanafanya kazi ya kuongoza watalii mlimani, kwa Kiingereza mountain tour guide katika mlima Kilimanjaro uliopo nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/31e1a