1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake Venezuela wakosa huduma ya uzazi wa mpango

Yusra Buwayhid
22 Agosti 2019

Ukosefu wa huduma wa uzazi wa mpango unasababisha mimba zisizo za kutarajiwa nchini Venezuela. Bila shaka mgogoro wa kisiasa na kiuchumi nchini humo unaliathiri zaidi kundi la wanawake.

https://p.dw.com/p/3OJMS