1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUganda

Uganda: Sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja yakemewa

Lubega Emmanuel
30 Mei 2023

Wanaharakati wa haki za binadamu pamoja na watetezi wa mapenzi ya jinsia moja ndani na nje ya Uganda wameshtumu vikali sheria ya kupambana dhidi ya ushoga iliyosainiwa hapo jana na rais Yoweri Museveni.

https://p.dw.com/p/4Rxwz