Wanafunzi wenye mimba wakamatwa Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 11.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

elimu

Wanafunzi wenye mimba wakamatwa Tanzania

Watetezi wa haki za binadamu wameikosoa serikali ya Tanzania kwa kuwakamata wanafunzi waliopata mimba, na kusema badala yake serikali ilitakiwa kuwakamata wanaume ambao wamewapa mimba wasichana hao.

Sikiliza sauti 03:09
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na Helen Kijo Bisimba

Wasichana hao watano wenye umri wa kati ya miaka 16 hadi19 walikamatwa na polisi katika wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara mwishoni wa wiki iliyopita na baadaye kuachiwa kwa dhamana. Lilian Mtono amezungumza na mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binaadamu nchini Tanzania, Hellen Kijo Bisimba.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com