1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakulima wa korosho Tanzania waeleza hisia zao

John Juma
26 Novemba 2018

Baada ya serikali ya Tanzania kuchukua hatua ya kuwanusuru wakulima wa zao la korosho dhidi ya bei ndogo kutoka kwa wanunuzi binafsi, baadhi ya wakulima na wadau hao wameelezea hisia zao na kusifia hatua hiyo. Mengi ni katika vidio hii. Mpiga picha ni Yakub Talib

https://p.dw.com/p/38vKe