Wahadzabe walalamika kuhusu uvamizi | Media Center | DW | 10.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wahadzabe walalamika kuhusu uvamizi

Lakini kwa sasa jamii hiyo inalalamika kuwa katika tishio la kutoweka kutoka na ardhi yao kuvamiwa na wakulima, wafugaji, wachoma mkaa huku biashara ya utalii ikiwa haiwanuifaishi licha ya wao kuwa sababu ya watalii kufika katika eneo hilo.

Tazama vidio 02:53