Wafanyakazi wa Ethiopia wanaorudi kutoka Arabuni | Afrika yasonga mbele | DW | 30.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Wafanyakazi wa Ethiopia wanaorudi kutoka Arabuni

Abay Kassahun amejitolea kuwasaidia wanawake walio nyanyaswa nchi za nje walipokuwa wakitafuta maisha bora. Mbali na msaada wa kisaikolojia, wengine wanahitaji matibabu na ushauri wa daktari. Huwa anwatembelea wagonjwa wake hata majumbani mwao. Kazi zimempelekea kupata jina la utani: muuguzi wa kusafiri.

Tazama vidio 03:06