Viongozi wa nchi za Kiislamu wakutana Istanbul | Media Center | DW | 13.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Viongozi wa nchi za Kiislamu wakutana Istanbul

Viongozi wan chi za Kiislamu wanakutana mjini Istanbul katika mkutano wa dharura kujadili uamuzi wa Trump. Mgombea wa Democratic nchini Marekani amshinda Mrepublican jimbo la Alabama. Na Mamlaka za Burundi zamshikilia mwanaharakati kwa Zaidi ya siku 20. Papo kwa Papo 13.12.2017.

Tazama vidio 01:43
Sasa moja kwa moja
dakika (0)