1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

OIC

Jumuiya ya ushirikiano wa mataifa ya Kiislamu OIC ndiyo shirika la pili kwa ukubwa baada ya Umoja wa Mataifa, likiwa na mataifa wanachama 57 yalisambaa katika mabara manne.

Shirika hilo ndiyo sauti ya pamoja ya ulimwengu wa Kiislamu. Shirika hilo liliasisiwa kwa msingi wa uamuzi uliyochukuliwa mjini Rabat, Morocco, Septemba 25 1969, kama matokeo ya uhalifu wa kuchoma moto dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa katika eneo linalokaliwa la Jerusalem.

Onesha makala zaidi