1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wanapogeukia mboga kujiimarisha kimaisha

13 Mei 2020

Hapa ni moshi mkoni Kilimanjaro Tanzania, leo ninakuonesha shughuli za kilimo cha mboga mboga zinazofanywa na vijana katika eneo hili. Kilimo hiki cha kisasa ndani ya mahema au vijumba maalumu, kwa lugha ya kisasa Green house, hutumia ardhi ndogo na hutoa mavuno mengi tofauti na kilimo cha kawaida. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3cB7Q