Vijana wanaokuza utalii Uganda | Anza | DW | 11.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Vijana wanaokuza utalii Uganda

Kama hatua ya kuinua hali ya utalii nchini Uganda, vijana hawa wanatembelea vivutio mbalimbali na kuvipiga picha kisha wanazichapisha katika tovuti yao ya KoiKoi Travel. Hatua hii imechochea hamu ya watalii wa nyumbani na hata nje kutaka kuzuru maeneo mbalimbali ya Uganda. Tazama.

Tazama vidio 02:20