JamiiVijana watumia baiskeli kama teksi ShinyangaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiJosephat Charo13.01.201913 Januari 2019Katika kujitafutia riziki ya kila siku vijana wa Shinyanga nchini Tanzania wamejumuika pamoja kuunda kikundi kinachotoa huduma za usafiri wa teksi kutumia baiskeli. Veronica Natalis anazungumza nao katika kipindi cha Vijana Tugutuke.https://p.dw.com/p/3BS5JMatangazo