Makala ya Mwangaza wa Ulaya inaangazia mpango mpya uliozinduliwa na Umoja wa Ulaya, kuwapa vijana fursa ya kusafiri bure kwa treni ndani ya eneo la Umoja huo. Ni mpango unaoanza kutekelezwa wiki hii. Licha ya kwamba wengi wanauunga mkono, wapo pia wale wanaodai kwamba huu ni upotezaji wa fedha za umma.