1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utunzaji wa mazingira, Mwanza

14 Aprili 2020

Suala la utunzaji wa mazingira katika majiji mbalimbali nchini Tanzania linaanza kupata ubunifu mpya. Hapa ni kandokando ya barabara jijini Mwanza. Tizama video hii tuliyoandaliwa na Dotto Bulendu. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3atZ8