Upinzani wa Tanzania wamuomba rais Samia kusimamia haki. | Matukio ya Afrika | DW | 01.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Upinzani wa Tanzania wamuomba rais Samia kusimamia haki.

Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF nchini Tanzania Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri rais wa Jamhuri za Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kujiwekea lengo la kushinda tuzo za utawala bora inayotolewa na wakfu wa Mo Ibrahim kwa kufuata misingi ya demokrasia, kukuza uchumi na kutenda haki. Hawa Bihoga alituletea taarifa ifuatayo kutoka Dar es Salaam

Sikiliza sauti 02:32