1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unauzungumziaje utamaduni wa mahari?

24 Novemba 2020

Ni kawaida kwa jamii nyingi kutoa mahari wakati kijana anapotaka kuoa. Wewe unaouonaje utaratibu huu katika nyakati hizi? Nipe maoni yako, lakini kwanza tazama video hii uwasikie vijana wanauzungumziaje?# Kurunzi

https://p.dw.com/p/3lkbL