1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Una tatizo la kutamka baadhi ya herufi? Nini chanzo

7 Machi 2018

Umeshawahi kukutana na mtu anayeshindwa kabisa kutofautisha herufi L na R? Unakuta mtu badala ya kutamka Labda anasema Rabda, nini chanzo cha tatizo hili? Sikiliza makala haya ya Utamaduni na sanaa, wataalamu wanazungumza.

https://p.dw.com/p/2tp6z