Ukataji wa Kilimi au Kimeo | Media Center | DW | 09.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ukataji wa Kilimi au Kimeo

Karibu katika makala ya Afya yako. Leo tunaangazia tatizo la kukohoa kwa muda mrefu, jambo ambalo baadhi huhusisha na kuwa na kimeo au kilimi kirefu ambacho wamekuwa wakiamini humsababishia mtu kikohozi kisichopona haraka. Kwa mengi zaidi, ungana naye Deo Kaji Makomba

Sikiliza sauti 09:45