1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujumuishaji viongozi serikalini bila kujali itikadi za vyama

Sylvia Mwehozi
12 Mei 2021

Makala yetu leo inamulika kauli iliyotolewa hivi karibuni na rais wa Tanzania, Mh Samia Suluhu Hassan kwamba anakusudia kuwateua viongozi wenye weledi na uadilifu bila kujali itikadi za vyama. Je utaratibu huo unaweza kuwa na tija gani katika ujenzi wa maendeleo ya nchi? Aliyeiandaa ni Sylvia Mwehozi

https://p.dw.com/p/3tI9A