1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za Rais Magufuli, za kuimarisha Miundombinu Tanzania

25 Februari 2021

Juhudi za Rais wa Tanzania John Magufuli, za kuimarisha miundombinu ni sehemu ya hatua za kusaidia kurahisisha na kuboresha maisha ya wananchi wake. Ujenzi wa madaraja katika makutano ya barabara za juu na hata reli ya mwendokasi vimepokewa vyema na Watanzania. Fuatilia hapa katika video yake Yakub Talib

https://p.dw.com/p/3puEQ