Serikali ya Tanzania imehimiza kupanuliwa kwa vita dhidi ya ujangili duniani, ikisema kuwa mataifa mengine yanapaswa kuiga mfano uliochukuliwa na China iliyopiga marufuku biashara ya pembe za ndovu.
https://p.dw.com/p/2sCZz
Matangazo
J3 06.02.2018 Tanzania: Kampf gegen Wilderei - MP3-Stereo