1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhifadhi wa misitu asili na upandaji miti Shinyanga

Veronica Natalis (HON)30 Novemba 2018

Ongezeko la viwango vya hewa ukaa yaani carbon dioxide husababishwa na shughuli mbalimbali za kibinadamu na hivyo huchangia kiwango cha joto duniani kuongezeka. Katika makala ya Mtu na Mazingira, Veronica Natalis anaangazia baadhi ya juhudi zinazofanywa eneo la Shinyanga Tanzania za kuhifadhi misitu ya asili na upandaji miti aina ya Mwarubaini ili kukabiliana na hewa chafu. Karibu usikilize zaidi.

https://p.dw.com/p/39DBM