1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhamasishaji madereva kuhusu usalama wa barabarani Arusha

15 Septemba 2022

Makosa mengi ya matumizi ya barabara yanayotokea Arusha yanatajwa kusababishwa na waendeshaji wa vyombo vya moto wasiozingatia sheria za barabarani huku lawama zikienda zaidi waendeshaji wa pikipiki za abiria maarufu kama Toyo au Bodaboda.

https://p.dw.com/p/4GwH7