Ufukuaji wa makaburi Tanzania | Media Center | DW | 26.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ufukuaji wa makaburi Tanzania

Mchezo wa watu kufukua makaburi kwa lengo la kuchukuwa vitu vya thamani wanavyozikwa navyo marehemu pamoja na baadhi ya viungo vya marehemu hao unazidi kushika kasi katika baadhi ya maeneo Tanzania. Katika vidio hii, Ahmad Juma anaripoti kuhusu matukio yaliotokea Kipunguni Dar es Salaam.

Tazama vidio 01:56
Sasa moja kwa moja
dakika (0)