Uchaguzi wa Ujerumani kwenye darubini | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 24.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Uchaguzi wa Ujerumani kwenye darubini

Baada ya miaka 16 ya utawala wa kansela anayeondoka madarakani Angela Merkel, Wajerumani wanafanya maamuzi muhimu kuhusu mustakabali wa nchi yao kisiasa. Kipindi cha Maoni safari hii kinaweka uchaguzi wa Ujerumani wa Septemba 26 kwenye darubini. Wachambuzi wanazungumziaje uchaguzi huo? Watakaochukua uongozi wana kibarua kiasi gani? Nahodha wa kipindi ni Saumu Mwasimba.

Sikiliza sauti 42:35