1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa Ujerumani kwenye darubini

Saumu Yusuf24 Septemba 2021

Baada ya miaka 16 ya utawala wa kansela anayeondoka madarakani Angela Merkel, Wajerumani wanafanya maamuzi muhimu kuhusu mustakabali wa nchi yao kisiasa. Kipindi cha Maoni safari hii kinaweka uchaguzi wa Ujerumani wa Septemba 26 kwenye darubini. Wachambuzi wanazungumziaje uchaguzi huo? Watakaochukua uongozi wana kibarua kiasi gani? Nahodha wa kipindi ni Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/40mlS