1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ubadhirifu wa madawa hospitali na vituo vya afya Tanzania

Deo Kaji Makomba18 Mei 2021

Suala la utendaji kazi kikamilifu na kufuata maadili ya kazi kwa watumishi katika sekta mbalimbali ni muhimu sana na kwa kufanya hivyo inaleta jita na ufanisi mkubwa katika sekta husika na hivyo kusukuma mbele maendeleo katika nchi husika mahali popote pale duniani endapo kutakuwepo na uwajibikaji wa kutosha

https://p.dw.com/p/3tZLW