1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tozo ya miamala ya simu bado kizungumkuti

Hawa Bihoga (Hon)19 Julai 2021

Waziri mkuu wa Tanzania Kaasim Majaliwa kesho anatarajiwa kukutana na mawaziri ambapo mbali na mambo mengine watajadili kwa kina kuhusu suala la tozo za miamala ya simu ambalo imeonywa kama serikali itaendelea kuizingatia itaongeza ukali wa maisha mara dufu na kuteteresha uchumi wa kidijitali

https://p.dw.com/p/3whcl