Theluji na barafu yawapa watoto raha Ujerumani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Theluji na barafu yawapa watoto raha Ujerumani

Msimu huu wa baridi nchini Ujerumani, kumekuwa na theluji na barafu kwa wingi tofauti na misimu mingine ya hivi karibuni. Je hali hii imeleta msisimko wa aina gani kwa watoto na hata wazazi? Harrison Mwilima anasimulia zaidi kwenye Kurunzi ya Ujerumani

Tazama vidio 01:37