1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Teua, tengua ya rais Magufuli inamaanisha nini?

Isaac Gamba
13 Septemba 2018

Sikiliza uchambuzi wake Hamduni Marcel kutoka Tanzania juu ya uteuzi na utenguzi unaofanywa mara kwa mara na rais John Magufuli nchini humo wa watumishi wake, katika kipindi cha miaka mitatu ya utawala wake.

https://p.dw.com/p/34nof