Tatizo la mimba na ndoa za mapema | Masuala ya Jamii | DW | 12.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Tatizo la mimba na ndoa za mapema

Ni jinamizi linalowakabili wasichana wengi wadogo katika maeneo mbalimba ya bara zima la Afrika. Kunapokesekana mtu wa kuwasaidia, wanakuwa hawana la kufanya. Wanakosa kwa kukimbilia.

Schüler in Shinyanga Tansania

Kutoka kushoto: Adelaeda Elias, Pili Omary, Lekadia Reuban na Rosalia Tadei

Ungana na Veronica Natalis akiongoza kipindi cha Vijana Tugutuke usikie wasichana wadogo wakielezea masaibu waliyokumbana nayo na jinsi wanavyojitahidi kuwahamasisha wengine kujiepusha na mimba na ndoa za mapema.

Kukisiliza kipindi bonyeza alama na masikioni hapo chini.

Mwandishi:Veronica Natalis

Mhariri:Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com