1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tatizo la kuhama kwa mito

13 Mei 2020

Mto mashuhuri wa Msimbazi jijini Dar es Salaam umezidi kupanda juu kwenye makaazi ya watu na sasa nyumba kadhaa zimebomolewa hasa kwenye majira kama haya ya mvua nyingi, kama ambavyo Ahmad Juma alishuhudia alipotembelea maeneo hayo. Kurunzi 12.05.2020.

https://p.dw.com/p/3cB7L