Tathmini ya hotuba ya Rais Samia katika Baraza Kuu la UN | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 24.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Tathmini ya hotuba ya Rais Samia katika Baraza Kuu la UN

Hotuba ya jana ya rais Samia Suluhu Hassan mbele ya Hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa ilikuwa ya kwanza tangu aliposhika madaraka. Lakini ni kwa kiasi gani imekidhi matarajio ya Watanzania na wengine? Rashid Chilumba amemuuliza swali hilo na mengine Prof Issa Shivji mtaalamu wa masuala ya siasa na mahusiano ya kimataifa akiwa mjini Dar es Salaam.

Sikiliza sauti 03:12