Tarehe:14.01.2018- Matangazo ya jioni | Habari za Ulimwengu | DW | 14.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Tarehe:14.01.2018- Matangazo ya jioni

Tuliyo nayo ni pamoja na :Tunisia yaikumbuka miaka 7 ya vuguvugu la msimu wa kiangazi//Chama kilichoondoka madarakani Liberia kimemfukuza rais mstaafu Ellen Johnson Sirleaf//Meli ya mafuta ya Iran iliyoshika moto tangu siku nane zilizopita katika sehemu ya mashariki ya bahari ya China, imezama.

Sikiliza sauti 59:59