Tanzania yapitisha muswada wa mabadiliko ya sheria ya filamu | Media Center | DW | 02.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Tanzania yapitisha muswada wa mabadiliko ya sheria ya filamu

Bunge la Tanzania limeupitisha mswada wa mabadiliko ya sheria filamu ya mwaka 2019, kuhusu sekta hiyo, ambao unataka kampuni au mtu yoyote anayetengeneza filamu, matangazo ya biashara au Makala maalum, kwa kutumia picha za ndani ya Tanzania kuwasilisha kazi zake kwa Bodi ya Filamu kabla ya uhariri. DW imezungumza na mwanasheria wa wizara ya habari na michezo ya Tanzania Evod Kyando juu ya hilo.

Sikiliza sauti 02:35