1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yapambana na homa ya dengue

George Njogopa4 Julai 2019

Tanzania imeanzisha kampeni maalumu ya unyunyiziaji dawa katika makazi ya watu kwa ajili ya kukabiliana na homa ya dengue iliyosababisha vifo vya watu kadhaa tangu ilipozuka mwanzoni mwa mwaka huu. Kampeni hiyo inafanyika katika jiji la Dar es salaam ambalo limetajwa kuathirika zaidi.

https://p.dw.com/p/3LZuv