1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yaondoa hofu ya fununu za shambulizi Dar es Salaam

20 Juni 2019

Serikali ya Tanzania kupitia waziri wake wa mambo ya ndani Kangi Lugola imeondoa hofu kwa Watanzania juu ya tahadhari iliotolewa na ubalozi wa Marekani wa nchini Tanzania kuhusu kuwepo fununu za tishio la kufanyika shambulizi jijini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/3KlL3