1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: watoto wafariki kwa kula mihongo yenye sumu

12 Desemba 2019

Watoto wanne wa familia moja wamefariki dunia nchini Tanzania, baada ya kula mihogo inayodaiwa kuwa ilikuwa na sumu. DW imezungumza na Dr. Sadick Sizya kuhusu madhara ya kiafya yanayoweza kusababishwa na mihogo mibichi ama michanga.

https://p.dw.com/p/3UgCF