Tanzania: Vurugu kambi ya Nyarugusu | Masuala ya Jamii | DW | 10.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Wakimbizi

Tanzania: Vurugu kambi ya Nyarugusu

Wakimbizi zaidi ya 80 wanashikiliwa na polisi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu zilizolenga kulituhumu jeshi la polisi kwa kutodhibiti matukio ya uhalifu kambini humo.

Sikiliza sauti 02:49

Ripoti ya Prosper Kwigize kutoka Kigoma

             

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com