Tanzania: Uamuzi juu ya TBC wazua vurugu bungeni | Matukio ya Afrika | DW | 27.01.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tanzania: Uamuzi juu ya TBC wazua vurugu bungeni

Upande wa upinzani nchini Tanzania umekataa tamko la serikali la kujaidili hotuba ya rais wa taifa hilo pasipo kuoneshwa matangazo moja kwa moja kupitia televisheni ya taifa TBC.

Sikiliza sauti 02:55

Ibrahim Yamar katika mahojiano na Sudi Mnette

Serikali kupitia waziri wake wa habari, utamaduni na michezo Nape Nnauye ilisema shirika hilo halina pesa ya kurusha matangazo hayo ya moja kwa moja jambo lililzusha tafrani kama anavyosimulia Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima Ibrahim Yamar aliyeko katika viwanja vya mikutano hiyo ya bunge.

Kusikiliza mahojiano kati ya Ibrahim Yamar na Sudi Mnette bonyeza alama ya spika za masikioni

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com