1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na mjadala kuhusu vazi la taifa

Saumu Mwasimba
9 Januari 2018

Nchini Tanzania suala la maadili linagonga vichwa vya habari tangu kipindi cha wiki kadhaa baada ya kujitokeza kauli za serikali kuwataka hususan wasanii wa muziki wa kizazi kipya kuacha kuvaa mavazi yanayozingatiwa kuwa ya utovu wa maadili. Saumu Mwasimba anazungumza na waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dk. Harrison Mwakyembe katika Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/2qYpy